Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #721
Sio mara zote mpira unaamuliwa kwa QualityHii ni wishful thinking. Team yetu haina hiyo quality!
No goal🤣🤣VAR loading…
Ilikua uamuzi sahihi kutoa penalty, bila kujali victim ni nani.Hivi tuseme ukweli lile tuta leo waliopewa misri ndio ingekuwa upande wa msumbiji na matokeo hayako upande wao wangepewa kweli?