Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
🤣🤣🤣 waka-googleWatakuelewa kweli watoto wa 2002 humu?
CCM itoke kwanza madarakaniAseeeh Tz tuna safari ndefu sana kupiga soka kama hili. Jamaa wana spirit ya ajabu, mtu kashafunga hakuna cha back passes majamaa yanaenda mbele tu kutafuta goli jingine. Alofungwa nae sio kinyonge anaupiga haswaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani kuna game unatamani iende matuta halafu kuna nyingine unatamani iishe 90 tuWangefika matuta hawa.
Anagalau penati imetuamulia mapema,
Jana Kuna wapuuzi wametukalisha hadi saa8.
na kipensi cha kuongeza utamu eeHii pisi iliyoingia na uwanjani na bendera mmeiona? Macho yenu yanaona kama mimi?
Ndio makosa hayo sasaGoli lile ni beki kasababisha
Wenyeji akipigwa Leo Nch inaweza kuingia kwenye machafuko ,Team Senegal tujuane…
Twende gemu ya Senegal hio ishaishaNdio makosa hayo sasa
Embu sema mwenyewe ni kitu gani hicho 😄
Yule Semedo aliyeingia dakika za mwisho naye ana maudambwi udambwi fulani hivi. Leo hakupata muda wa kuyaonyesha ila mechi na Misri alikuwa anawageuza mabeki anavyotakaBrazil ya mwaka 2002 dakika kama hizi alikuwa anaingia Denilson kiwachosha mabeki kwa chenga zake na kulinda ushindi…
🤣 Subiri niitie paka anasemaje kwanza tuoneSenegal nilishakosa sababu ya kuipenda hii timu
Ivory coast nipigie hawa wahuni
Jana zile dakika 30 zilinichosha hatari[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani kuna game unatamani iende matuta halafu kuna nyingine unatamani iishe 90 tu