Napumzika dk42..saa tano naamkaImeisha hyooo....nyie mapopo mnaokesha mkeshe..tutajua wengine yatakayojiri kesho
Ngoma ya kufungulia wikiIvory Coast XIView attachment 2887476
[emoji1787] Subiri niitie paka anasemaje kwanza tuone
Senego itanguliwe na neno mabingwaTeam Senegal tujuane…
Ostaz wetu Mane ana magoli matatu ya kuwapasua voteDevoir (Stars iliyochangamka)Senegal XIView attachment 2887475
Naaam, Mabingwa Senegal tujuane…Senego itanguliwe na neno mabingwa
Atakutana na mshindi kati ya south au moroccoCV ndani sasa ni mda wa kumsubili senegal
🤣🤣Yaani tunazidiwa na nchi kama CV. Kuongozwa na CCM ni laana. Kila kitu ni ujanja ujanja tu
Ushuzi wa bata wale.......Bado mnaamini stars kuna timu kwa tunayoyaona ??
Unaongea kirahisi rahisi .........Ivory coast wanangu tulianza wote Tupo pamoja nipigie hao Senegal.