OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ila Cameroon ilikuwa inatisha zaidi makina Djemba Djemba, Etoo, P Mboma, Song, Foe na N' diefSenegal ile ni htr sn, kulikua na foward yao anaitwa henry camara aisee ni noma.
Senegal ana mpira wa janja janja tu leo itafahamika, Kila la kheri Ivory coastUnaongea kirahisi rahisi .........
Senegal ana mpira wa janja janja tu leo itafahamika, Kila la kheri Ivory coast
Kaangalie H2H za ivoryUnaongea kirahisi rahisi .........
Tunamtoa Mane akaendelee na fungateFirst Half Tu Ivory Coast Atakuwa Ameaga Mashindano.
Sema kweli, [emoji23][emoji23][emoji23]Usicheke nataka nirudi kwetu cabo verde bebe ni mtoto wa ba mkubwa upande wa bibi hata wale wadada ni ndugu zangu[emoji23]
Nikifika nitakuambia nataka kurudi kwetu😂Sema kweli, [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ukicheza faulo kabla mechi haijaanza inakuwaje?
Kile kilikua ni kizazi chao cha dhahabu ila bht mby tu hawakutwaa kombe la afcon. Walikamilika kila idaraPalikuwepo na Herny Camara na Souleymane Camara. Pia alikuwepo Salif Diao huyu alienda kukipiga ahdi Liverpool
Nimetoka kumwambia mtu hivyo hivyo sasa hiviWachezaji wa IVC sura zao Zinaonyesha wasiwasi na huzuni
msiba unaweza kutokea huko
watang'oa viti kama wale wa msimbaziWachezaji wa IVC sura zao Zinaonyesha wasiwasi na huzuni
msiba unaweza kutokea huko