Mlijikusanya kwa ajili gani?Ndiwooo sinywi!
Wallah uende kwenu. [emoji23][emoji23]Nikifika nitakuambia nataka kurudi kwetu[emoji23]
Ndio wanaoneshaMnijibu:
DSTV wanaonesha TBC ukiwa kifurushi kimeisha?
Kifurushi kimekata sina Azam nataka nicheki soccer.
Ukisema nitafute hela tunakula ban wote.
Mpira unamambo mengi Ivory Coast anaweza akashangaza watuTujiandae na mvua ya magoli Leo huko
MapemaaaaTaifa stars wao wanajiandaa na sherehe...
Wanaboa sanamapemaaa sanaa
Nawatamani niwatukane matusi hawa Cote D'Ivoire🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣