The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Mvua Kama yote!Nilisema tujiandae na mvua huko
Mimi nafikiri kuna fukuto la ndani huko linaendelea CDV hawapo sawa kisaikolojiaNawatamani niwatukane matusi hawa Cote D'Ivoire
Tema mate chin hawa unawaona wanapigwa hiv wakikutana na kizimkaz tutaimba MMAWatu ni wauaji sana
Yaani Ivory coast wakapangwe na Senegal kweli?
Heri hata tungewekwa Tanzania[emoji23]
Hivi kwa nini walipangiwa na Senegal?Nawatamani niwatukane matusi hawa Cote D'Ivoire
Sasa kama hawajielewi😂😂Mvua ya magoli ikianza Mechi haitanoga !
Poor CIV
Cameron walikua ndo baba lao enzi zao. Walikua wapo vzr. Kina njitap weeIla Cameroon ilikuwa inatisha zaidi makina Djemba Djemba, Etoo, P Mboma, Song, Foe na N' dief