The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Ndivyo inavyotakiwa sababu. Ya nature ya watanzaniaIssue sio kajamaa kadogo issues hajui commentary umbea mwingi kuliko kinachoendelea
Mara paap!! Mende kaangusha kabatiCIV wameamka
So tusijudge kitendo cha waziri kutomjua Pacome kuwa kinamaanisha Pacome mbovu.Hata wewe inawezekana hujui lolote kuhusu mpira ila u mshabiki tu π
Huu sasa ni uhujumu mpira, haipendeziHata angekuwa salah, au messi au ronaldo wasingepewa
Kisha watamalizia na la ushindi.CIV wanarudisha hili
Kikosini bado yupo, leo naona ataingia sasa hivi wamemuonesha ana pasha hapaNa ule urefu angewafaa sana
πππukweli mchungu huo, wewe shuleni ukumbuki wale waliokuwa wanaongoza wana miakili wanaeza kuingia staff kula ila wakukute wewe back bencher maji utasema MMAHuu sasa ni uhujumu mpira, haipendezi
ThubutuuuuKisha watamalizia na la ushindi.
Naona Senegal washachoka
Angekuwa sio mbovu saa hii angekuwa anakipiga hapo uwanjani.Pacome mbovu.
Ngoja tuoneππKisha watamalizia na la ushindi.
Naona Senegal washachoka
πππukweli mchungu huo, wewe shuleni ukumbuki wale waliokuwa wanaongoza wana miakili wanaeza kuingia staff kula ila wakukute wewe back bencher maji utasema MMA
π€£ π€£sio mbovu
We huoni wanvyokimbizwa mchakamchaka?Thubutuuuu
π ππ€£ π€£