Mshika mbili moja humponyoka😂Sadio tokea aoe basi tu.
Sheeendwaaa!Tulia ushuhudie kwa macho yako Senegal anavyopigwa leo
Aliondolewa Chelsea kisa hajui kupiga pasi🤣🤣Huyu Mendy ni mfano wa kuigwa
Nawewe utatuambia katili ni nani huko.Nimehamia kwenye movie ya Rambo mtaniambia matokeo
Yeah Senegal wamalize hii mechi tupate mbungi ya maana kati ya Senegal na Cabo VerdeSenegal wapige la 2 mapema.
Hawa wehu wanaweza bahatisha wakasawazisha.. Hlf ikawa jau tuanze kulala usiku wa manane siku ya 2 mfululizo.
Huenda PEPE kaichezea only clear chance for IVORY..Mendy with a man of the match performance
Ikibaki hiv hiv lazima awe man of the matchMendy with a man of the match performance
Senegal wameshapoteana mkuu 😂Sheeendwaaa!
Wasitutese bure watu jana tumeenda vibaruan usingizi debe 2.Kabeeesa asee! Waongeze lapili walau
Hapana ndani ya 90' Senego anashindaHii game tunaenda 120 kama jana
Senegal [emoji1211] akipita atakutana na kati Mali [emoji1159] au Burkina Faso [emoji1059]Yeah Senegal wamalize hii mechi tupate mbungi ya maana kati ya Senegal na Cabo Verde