Kazi wanayo kulindaAnaangusha vizuri
Kazi yake anaijua kuifanya pamoja na ujeuri wake.Jeuri sana huyo. Hivyo ndo nataka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa dakika zilizobaki wanakaa vizuri sanaKazi wanayo kulinda
Bado dakika kama 5 nyingi kwenye football hiziKwa dakika zilizobaki wanakaa vizuri sana
Yah ni kweliBado dakika kama 5 nyingi kwenye football hizi
Kwa kifupi Afcon sio ya kubetia. Nigeria alianza kuharibu mikeka leoCape Verde kachana mikeka ya watu leo😟😟😟
Uyo anafaa timu ikiwa iko vizuri lakini leo wamelamba loloMohamed Kudus hayupo leo na Ghana ime-struggle kupata matokeo
Unakutana na timu kaa Mozambique afu umjui muchezaji hata mmoja😖😂😂🤣Kwa kifupi Afcon sio ya kubetia. Nigeria alianza kuharibu mikeka leo
Kesha kula 2 tayari FTKazi yake anaijua kuifanya pamoja na ujeuri wake.