Ndio hivyo...Hivi ivory cost aliingia kama Best lozer or
Mkewe alirudi chuo lakini baada ya kumwoa. Wala hajaenda Ivory Coast.Sadio tokea aoe basi tu.
Sina pozi la kucheka ujue π!Tangu lini pepo akamtoa pepo mwenzie πππ
Dah!Sisi team Senegal tulishasema tokea jana, hii mechi haiendi 120.
Tunamaliza kazi mapema.
Nguvu unazo sasa?Napiga simu ya mtu hapa
Tunaenda kumaliza mechi mabingwa.
Hatuendi matuta.
Upepo huko kwao wanaamin wanaweza kushinda.Hizi dk 30 ni i bora Senegal wacheze defence wasubiri penalty...
Wakisema nao wasogee mbele, ivory kwa sasa ni kama wamekunywa AZAM ENERGY
Mara tangu aoe, mara ligi ya uarabuni......Mane ule mpira wa Klopp haupo tena mguuni...ligi mayai za Saudi zimeua kipaji chake
Ile kadi ile imemchanganya
Wapi hukoTanesco kmmmk kabisa nchi ya kifala hii haiwezi kuendelea kamwe
Wamezidiwa kiungo kua mkweliSenegal wamecheza leo kwa kuwaheshimu sana Ivory Coast ndiyo maana wanaonekana kama wamepoa sana
Wameamka hao...Hizi dk 30 ni i bora Senegal wacheze defence wasubiri penalty...
Wakisema nao wasogee mbele, ivory kwa sasa ni kama wamekunywa AZAM ENERGY
Basi tulia hivyo hivyo hadi kipenga cha mwisho kipulizwe πSina pozi la kucheka ujue π!
Pole sana. Mna bahati mbaya sana. Heri wangewakatia jana.Tanesco kmmmk kabisa nchi ya kifala hii haiwezi kuendelea kamwe
Eeehh Yesu Mariah na Senegal ππ€Basi tulia hivyo hivyo hadi kipenga cha mwisho kipulizwe π
Kama sio yeyeIvory cost kabadilika
Hakuna kitu kama hicho mkuu, Senegal wanaonekana wazi pumzi zimekata hawawezi shinda mechi.Ila kwa ninavyoona, Senegal kama bado wana nafasi zaidi ya kuimaliza hii mechi bila mipigo ya penalty.
Ova