Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Chama lako naona kama pumzi imeanza kukata.Nani yule fala kachoma pale? Bado nina wenge siamini nilichokiona.
Sasa mimi penalties nitaziangaliaje b... jamani? DahNo! Nimefurahi tu kuwa hatimaye tumepata mechi nzuri. Kila timu inastahili hatua inayofuata.
Ova
N wanaweza kupiga nyingi hawa kama jana.Sasa mimi penalties nitaziangaliaje b... jamani? Dah
Endelea tu kufurahia, ipo siku yangu.Chama lako naona kama pumzi imeanza kukata.
Ova
Shida yako ndiyo hiyo b... Lol.Endelea tu kufurahia, ipo siku yangu.
Tuko hapa b...
Na ulivyo mjanja ukachenga kuniambia timu zako, ukaniacha nikajimaliza.Shida yako ndiyo hiyo b... Lol.
Ova
Subiri sasa uone chozi la wana Simba wa teranga baada ya kuporwa kombe leo leoThubutuuuu
Wapo hoi sasaWalifanya sub mapema walijua watamaliza game mapema, sasa wamechoooka