Sio kadi..kaishaMane ule mpira wa Klopp haupo tena mguuni...ligi mayai za Saudi zimeua kipaji chake
Ile kadi ile imemchanganya
Hahah punguza sautikuna njemba kila siku zinaomba mipira ichelewe kuisha ziendelee kupona nyumba ndogo/ michepuko.
Hizo njema zina bahati, wa kwangu ana hasara maana mpira tutaangalia wote mwanzo mwisho.kuna njemba kila siku zinaomba mipira ichelewe kuisha ziendelee kupona nyumba ndogo/ michepuko.
Usijali mkuu jipe moyoHaya mambo nayatakaga ya nini mimi? Saa hizi ningeshalala namuota kaka mzuri niko hapa na pressure kibao!
Matuta tuone nani bahati ni yakeWapo hoi sasa
Thubutuuuu!Subiri sasa uone chozi la wana Simba wa teranga baada ya kuporwa kombe leo leo
Tuone mbabe wa kupangua na kupiga penaltyHii ngoma penalty zinaamua
Aamin aamin AaminNi wakati wa wenye bahaati tuuh huu
Kila la kheri bingwa mtetezi
Itapendeza CIV wasonge ili kunogosha mashindanoHapa yoyote anaweza kushinda.
Sitashangaa hawa Ivory wakapita.