Na Ghana ndo pekee kanichania ningelala na ka 70 aiseeKwa kifupi Afcon sio ya kubetia. Nigeria alianza kuharibu mikeka leo
Sawa ila uwezo wake tumeuona hastahili lawama.Kesha kula 2 tayari FT
Dah aiseeNa Ghana ndo pekee kanichania ningelala na ka 70 aisee
Madrid,Ac Milan,PSG fresh,shenzi ghana
Yule jamaa ni mtu na nusu, mimi ndo mchezaji wangu bora kutoka africa nayemkubali kwa sasa akifuatiwa na Fundi la mafundi kiboko ya Arsenal Mheshimiwa Mohammed SalahYule dogo Victor Osimhen wa Nigeria nimemkubali sana ππ½ππ½ππ½
Na Wamepigwa.Defence ya Ghana wanajipanga vizuri, vinginevyo wangeishapigwa
My support πͺπͺπͺI support Cape Verde
Hivi huwa unazicheck game zote Mtani?
Yeah! Inategemea na situation.Hivi huwa unazicheck game zote Mtani?
Mimi kwa leo hapo Senegal kidogo hao wengine atayeshinda ndo namshangilia. π
Hongera aisee.Yeah! Inategemea na situation.
Hiyo ya Saa 11 naweza kuikosa.
Hizo nyingine nazicheki.
Jana nimefanikiwa kucheki zote.
Umeharibu kuweka mahaba, huyo Salah alifanya nini cha maana? Alipata a clear chance akambwela mpaka mwenzie alipouchukua mpira kiufundi akafunga lile goli la kwanzaβ¦Yule jamaa ni mtu na nusu, mimi ndo mchezaji wangu bora kutoka africa nayemkubali kwa sasa akifuatiwa na Fundi la mafundi kiboko ya Arsenal Mheshimiwa Mohammed Salah
Hawawezi kujifunza Kwa sababu kule ulishaambiwa wenye akili ni wawili tu, kauli za manara hizoWale waliolalamikia dk za nyongeza mchezo wa Simba vs Singida wana la kujifunza mechi hii
Sadio mane ataendelea kuheahimika kwa miaka mingi sana haoa africaOnana akiwa katika ndege binafsi akielekea Ivory Coast kwenye AFCONView attachment 2872312
Ama kweli upele humuota asiye na kucha. Pesa zote hizo amevaa kama homeless.Onana akiwa katika ndege binafsi akielekea Ivory Coast kwenye AFCONView attachment 2872312
Yule shehe balaaYule jamaa ni mtu na nusu, mimi ndo mchezaji wangu bora kutoka africa nayemkubali kwa sasa akifuatiwa na Fundi la mafundi kiboko ya Arsenal Mheshimiwa Mohammed Salah