2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Umepata jibu au bado?
Ingekuwa timu imeshinda ingekuwa na maana ya kwamba nayeye anaenda kupasha pasha. Ila kwavile timu ipo nyuma, maanake yeye ndio miongoni mwa option ya mwisho kuikoa timu. Dakika 2 jumlisha na dakika za nyongeza zisizopungua 7 maanake ana dakika zisizo pungua 10 hapo mwasibu.
 
Kocha wa Burkina Faso ajilaumu mwenyewe, kwa huu muda alioingia Aziz Ki ameweka pressure kubwa na kosa kosa nyingi.

Mechi ya mwisho yeye ndio alikuwa kinara kwenye timu yao, sijui kwanini hakufikiria kumpa nafasi mapema.

Hata hivyo nipo Mali, yote ni kheri.
 
unajua mpira wew inabidi utaftwe nafasi kwenye timu ya wanawake ni kweli kabisa Aziz ki kaleta impact dakika chache izo alizocheza hasa kwenye long ball ilibaki kidogo wachomoe goli
 
kwanin ma timu ya kiswahili yanapenda sana kucheza ngoma wakat wakuingia uwanjani tofauti na warabu kama wa South sjui wanaimbia madudu gani
 
Labda ni ubaguzi kwa wachezaji wanaocheza ligi za afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…