Huyu si ndo mwamba juzikati alojisevia kibinti kibichiiiSenegal XIView attachment 2872636
I go with Gambia.
Mkuu toka jana tunawaambia Jiografia ya Africa ni ngumu sana kufananisha na UlayaViwanja hamna mashabiki kabisa
Nadhani ni nchi pia yalipofanyikia imechangia kutokua na amsha amsha
Hio jezi ya Gambia utadhani Kichangani Fc kha
🤣🤣🤣 au Taifa Jang’ombeHio jezi ya Gambia utadhani Kichangani Fc kha
Yani wanazingua kinoma leo sa mbona watangazaji wamekatisha wanaongea tena !!??🙄🙄Matangazo yanaganda
Nchi kubwa Afrika zilizotamba kwa miaka mingi naona zimeishiwa, hata wachezaji si hodariCape Verde wamemnyoosha Ghana. Hawa jamaa naona bado ni tishio.