MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 890
- 1,487
Atawauwa kwa presha huyo mzeehaaaaa wacha sis na man u yetu tufe tu hatuna namna
Ona nae onahi
muhutu kapeta penatidaaah amewakokota
Hapana kaanguka mwenyewemuhutu kapeta penati
Kabisa, refa asipoenda kwenye var sitamuelewaPenati hii
Kwakuwa ni Morocco [emoji1173] atapewa.Penati hii
Soft sana. Hakukuwa na issue kubwaWamenyimwa tuuh
mwembamba sana kichwa kikubwa kinampa uzitohuyu hunai anafirimbwa urembe Babu Njunju ππππ