Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Kipa alicheza Ile almanusraAlmanusura Mabululu aweke chuma
Mungu ibariki Nigeria
Mungu ibariki DRC Congo
Mungu ibariki Mali
Namkubali sana Mabululu.Almanusura Mabululu aweke chuma
Kibu DNamkubali sana Mabululu.
Mtoto halali na shilingi.Tushapigwaaa
Goli zuri jamaa hajaonyesha uchoyo ,katoa pande mwingine afunge,uku ndio kucheza kama team.zingekua zile ng'ombe zetu,zingekosa paleMua wa kibabe