Mimi nimeonaje kwani kuna mtu kaguswa?Narudisha ili
Kwaiyo Ubaya Ubaya dah,Refa mwarabu na mechi iliyopita Mcongo kamtoa Farao
Penalty ya mchongo.kwa mpira gani mnaocheza timu nzima lipo Nyuma awa ukijiachia wanakutoboa kwenye counter wew njoo tu utapata unachokitafta
Mpaka mtu avuje damu ndio iwekwe tuta 😃Penalty gani simple hivyo?
Hakuna. Zaidi wanapeleka nje tu.Hivi kuna kipa kapangua walau penati moja?
Linarud sio mudaChumaaaa hiyo kenge wakubwa nyinyi
wew unawekaje kiatu kwenye mpira wa kichwa unataka kuua mwezako auPenalty ya mchongo.
Soft sana. Pale ni chakula tuMpaka mtu avuje damu ndio iwekwe tuta [emoji2]
VAR ipo mkuu
Refa itamghalimu IleSoft sana. Pale ni chakula tu
nashinda hiiDahaaa mbemba unajiliza nini lazima utobolewe leo