Hahaha waliamua tu kutuonea huruma ili walau na sisi tutoke draw tuongeze point tujisifie kuwa tumevunja rekodi, nawakubali sana wanetu hawana baya nawaombea wafike final japo mimi ni team South Africa, heko kwa Congo DR kwa kutinga semi finalsHv Hawa Wakongo tulivyocheza nao tuliwashika au waliamua tuu kulegeza?
Nawaza tuu ilikuwaje wakashindwa kutunyeshea mvua [emoji848]
Yaani DRC ndio ushindi wao wa kwanza ndani ya Dk 90Wacha Tuiombee Congo ifike Mbali, ili Tuje tujifariji tulikua Kundi moja na Bingwa
Muda mwngne Wana act wanalia ionekane ana uchungu na nchi yakeSasa Keita analia Nini? Yaani alijua watashinda
Kabisa. Hata hivyo ilitabirika
Kabisa kaka π€£ππHii sura ya Wissa ya kibongo kabisa. Kuna jamaa wanafanana nae sana.
Kocha Hataki Maneno, ooh Ulimuacha Keita Benchi ndio maana tumefungwa.Kocha kaona leo watatoka kampa dakika 90 acha alie mkuu
Mkuu GOAT bado hutakiMgosi vp, mbona unaleta ubishi wa wapare?
Na upara hivyo hivyo kama Wissa?Hii sura ya Wissa ya kibongo kabisa. Kuna jamaa wanafanana nae sana.
Demu naye alionesha facial expression nzuri sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwamba alitisha sana
Kwaio unataka kusema sisi tuliwapa ugumu kongo au walitulegezea?Kabisa. Hata hivyo ilitabirika
Kafanana na yule jamaa anaejikunjaga kunjaga...nani sijui nimemsahau km hana uti wa mgongoHii sura ya Wissa ya kibongo kabisa. Kuna jamaa wanafanana nae sana.
Huu uswahili alikufundisha nani lakini? ππAfadhali ile mechi ya Angola na Nigeria ingechezwa usiku halafu hii ingetangulia.
Ni kama ule biriani halafu uwe hujashiba uongezewe bada ili umalizie mlo.
Ova