2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Siku imeisha vizuri, bado sasa timu yetu ya Taifa sisi Wananchi, Mali…
Sijui itakuwaje?

Na vile vi Cape Verde vipigwe nyingi kelele zipungue.
south africa hana mpira wa kumfunga cape verde hii niliyoiona, morroco walishindwa tu kutumia nafasi walizozipata dhidi ya south lakini kwa ujumla walikua bora sana!....cape verde wanacheza mpira wakikireno huwa naenjoy kuwatazama kwakweli!
 
Hivi kongo wanapata muda upi wa kujifunza mpira na mazoezi kila siku vita

Mbna nchi zinazosifika kwa aman[emoji1787][emoji1787] hawajui nn wanafanya
Kinshasa na Katanga iliko Lubumbashi ni amani tele,halafu hao wachezaji wako Ulaya na kwingineko hawako DRC.mfano ni Inonga,Mayele,Makabi Lilepo.Wissa yuko EPL na wengineo wako huko Ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…