United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
wajilipue wafe kumi na wana nyekundu ivory coast ilibidi awe ametoka mapema sana ni Basi tu Senegal waoga sana na kocha waoIvory Coast hakuna timu hapo imejaa wazee.Watu walikuwepo Afcon 2015 eti wanacheza Leo [emoji16][emoji16]
Sasa wapaki basi au wajilipue
Wanamkumbuka PacomeIvory Coast hakuna timu hapo imejaa wazee.Watu walikuwepo Afcon 2015 eti wanacheza Leo 😁😁
Sasa wapaki basi au wajilipue
Amna mkuu hii inatoa fursa kwa timu ndogo kama Taifa Stars kujiimarisha zaidi. Lakini ni platform ya kutangaza wachezaji wetuNa Ndio Maana mim naona ni Bora CAF wangerudisha Timu chache kama zamani ili Mechi zenye ubora ziazie makundi timu sjui kama Taifa stars zisiwepo kabisa
Na Ndio Maana mim naona ni Bora CAF wangerudisha Timu chache kama zamani ili Mechi zenye ubora ziazie makundi timu sjui kama Taifa stars zisiwepo kabisa
Acha basi, nitaendaje uwanjani sasa?Diara harudi Yanga next Season
Amna mkuu hii inatoa fursa kwa timu ndogo kama Taifa Stars kujiimarisha zaidi. Lakini ni platform ya kutangaza wachezaji wetu
Andaa mabegi kijanaLeo Mali Out mwenyeji leo hawezi kutuangusha gari limeshawaka kuzima ni wakikutana na Congo tu
Too late, wapigwe sana wajinga hao.Wanamkumbuka Pacome
Watanzania msipate neno jipya! Mama angekuwa kama aliyetangulia alivyokataza Faru John angeshakataza hili neno 😃Na hata ukiangalia vizuri karibia timu zote zili perform kasoro Kizimkazi
Hawezi Baki machakani pale pesa hiyo mzee uyo anaweza kwenda Euro au akapata klabu kubwa hapa hapa AfricaBaada ya hayo mashindano Diara akacheze na wenzake huko, kucheza NBC premier League ni kujishusha hadhi
Mbona kama uwanja unaanza kuinamia kwetu Mali?
Commentator wanavyotamka Maliiii, Traoreeee, Fofanaaa
Hivi wanapatia au ni mimi ndio inanikera kutwamkwa hivyo