Huyo ni Mokoena🤣🤣Kapiga kwa hasira huyu wa south
Ndio Huyu Huyu Bebe aliye pita Man USio huyo yule wa Man united ya Fergie alikua raia wa Ureno
Man imetoka wapNdio Huyu Huyu Bebe aliye pita Man U
Watoto wakali balaaIla Cape Verde kuna watoto daah....