Ndio mbili kasorobo wenye sekta yao wamekata dahh!Boli limeanza kitambo, hivi huko kwako hamna umeme?
Mkuu ngoja nifunge Uzi maana unakatisha tamaa
Eendiwoo ninalo gimme link please!
Team zote zinabeki imara,ukuta wa yeriko,Nigeria wasikubali waende matutaHapa kazi ipo aisee
Wewe acha tu leo wametuweza hawa jamaaNgoja niweke kambi hapa angalau kupata updates Tanesco washenzzz sana
0-0Nani kafunga???? Tanesco dahhh!!
Wameikataa goalNani kafunga???? Tanesco dahhh!!
Kwanini hupendi kutuona na furaha lakini?Muda huu Senegal yako ingekuwepo😬
Asante, wengine tuko porini totoroKwa wale wesio angalia game kwa tatizo la umeme au upo vijijini basi wenzenu watawapa apdate
WamekataaImekuwaje tena huko?
Nani kafungwa?