Napenda mlipiwe kisasi mkuu leo usikuKwanini hupendi kutuona na furaha lakini?
Hamna mchezaji paleTau Hana akili
Tau anawacheleweshea ushindiTau Hana akili
ExactlyHamna mchezaji pale
DuhKipa wa Nigeria ni kikwazo ila wanapigwa tu
Anazingua sanaKwa Percy Tau kweli akili ni nyweleeeee!!
Sijui nani kamwambia anyoe kiparaaaaaa
Bado 0-0Hali ikoje huko??????
Asante sana ngoja niangalie huko nione
Mapumziko muda huuAsante sana ngoja niangalie huko nione
Naona inaniletea kuingiza namba nanini sijui ndo huko au nimeclick vibaya??Mapumziko muda huu