Nilishasema sana hiliTau mpira ushaisha
Yap true thatTumebakiza mechi 4 tu kukamilisha idadi ya mechi 52 za AFCON.
Kwa maana nyingine ndio tunaelekea ukingoni mwa AFCON 2024.
Hii ni AFCON bora sana kuwahi kuitazama!
Kumbe wamekata sehemu nyingi dahh! Tena mbwakoko kabisaTANESCO mbwa hawa..
Yaani mechi yote inipite...
Huku wamekata tangu saa 12 jioni, wameniboa sanaKumbe wamekata sehemu nyingi dahh! Tena mbwakoko kabisa
Unavuma pande zoteUpepo unavuma kwenda wapi
Kakutana Leo na ukuta wa yeriko ,kama wa yangaAmbao hamna umeme Osimeh kakosa goli hapa