UmeongeaHawa ngj tu waende nje.
Nigeria Hawana mpr mzr kiivo lkn Wana mpr wa tournament Wana mpr wa kushinda tournament kwa ufup wanacheza kwa mahesabu ya ubingwa.
Egypt alitolewa na DR Congo jombaaSouth Africa 🇿🇦 alimtoa Egypt 🇪🇬 . Refarii anatokea Egypt 🇪🇬.
South Africa 🇿🇦 lazima wafe.
Sio kweli Nigeria wapo vizuri sana mzee tuwape pongezi zao tu kwenye Bechi lao anatoka mtu anaingia MtuSouth Africa [emoji1221] alimtoa Egypt [emoji1093] . Refarii anatokea Egypt [emoji1093].
South Africa [emoji1221] lazima wafe.
Hukumtaja Kanu, hiyo list ni batiliSafiii sana Nigeria, napenda movies zenu, napenda muziki wenu na napenda soka lenu toka enzi za akina Daniel Amokachi, Babangida, Sunday Oliseh japo kizazi chenu cha soka tamu kilipotea ila bado niko na ninyi
Huyu Nyau Haipendi kabisa Ivory Coast.
Kawauwa Tena [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2897333
Mwamba MakgopaMhhh Kuna Mua umepigwa hapo 😃
Kwenye mpira ata dakika moja ni nyingi ,tusubiri dakika 90 tuoneWazulu wameyatimba
wa Moto 🔥🔥Mhhh Kuna Mua umepigwa hapo 😃
Hee...sabini tayari .kaahhUmeona hzo Dakika zinavyopepea lkn?[emoji2]
Nitashangilia mpaka kuwa AsubuhiLeo wafe ukwelii watoke [emoji28]
Mnataka na kina naniCongo haendi fainaili tunataka fainaili ya ivory coast na Nigeria tupate best match
Muongo huyuHuyu Nyau Haipendi kabisa Ivory Coast.
Kawauwa Tena [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2897333
Dah kweli.. akili ilikuwa inawaza Mwarabu 🤣🤣Egypt alitolewa na DR Congo jombaa
Ukuta wake kama wa mwamnyeto...South wanacheza mpira wakiwa slow sana,kama simba [emoji881],huwezi kushinda mechi ngumu kama hii kwa staili hii ya uchezaji,labda itokee bahati tu
Jamaa wagumu kama niniLeo wafe ukwelii watoke [emoji28]