2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Hawa Super Eagles kocha wao tangu michuano ianze anacheza mpr very strategic hauvutii Sana lkn unawaona wako compact Sana jinsi wanavocheza na ndo maana unaona hawajaruhus Zaid ya goal had ss kwny mchezo(kama sijakosea)

Kocha ame set hii team icheze mpr wa kimashindano Sana kuwatoa ni ngumu Sana.

Wakizubaa team zilizobak hii Nigeria watarud nalo kwao.. Na kelele zake hapatatosha walivo wengi Dunian humu.
 
Aliambiwa asipofika Nusu final anatemwa
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]km wahindi Hawa Wana vurugu mnoooo...
Tutakoma mbonaaaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nigeria hii Nzuri lkn imekosa udwambwi udwambwi tuliouzoea miaka ya nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…