Kuna jamaa kipara yule kawakosesha ushindi yule😁😁😂Kaka acha mpira dakika 90
Tatizo nimelala mchana ili usiku hata nikikesha vyedi tu tanesco walichonnifanyia sasa dahhh!wew lala tu
Goal ganiGoalllll
Mudau... Jamaa sema me namkubali anapiga san kazi kanishikia LookmanKuna jamaa kipara yule kawakosesha ushindi yule😁😁😂
Mama joy kapotezwa leo 😂😂
Iwobi alifichwa leo kiungo ya South imetulia mzeeSub ya iwobi imeikosti sana Nigeria
Tulia tutakuhadithia mkuuTanesco wamedinda kurudishwa bana au mpaka nisinzie 🤠🤠
Santo sana nimeona niangalie YouTube tu sa ntafanyeje!Dakika 90'
Wao 1 Sisi 1.
Extra 30
Tulikoswa sana na Cape Verde ila tupo hapa leo cape verde yupo kwao na mali zaoUonapo mambo kama hayo ujue South africa Nyumbani kunawaita
Mbona pale ilikuwa faulo ya wazi kabisaaa.Rais wa CAF anatoka kwao South huko na Yuko Uwanjani Leo...!!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tamesco ni tatizoTatizo nimelala mchana ili usiku hata nikikesha vyedi tu tanesco walichonnifanyia sasa dahhh!
Kwan ile website imekataa??Santo sana nimeona niangalie YouTube tu sa ntafanyeje!