Lete namba nikuwezeshe bando.Santo sana nimeona niangalie YouTube tu sa ntafanyeje!
Ngoja tuone mambo yataendajeNaunga Mkono hoja, Walikua washamaliza Mechi hii
Yaniii kusimuliwa nakosa uhondoTulia tutakuhadithia mkuu
Huyo anawazaga kuonewa kila mudaMbona pale ilikuwa faulo ya wazi kabisaaa.
Mlinzi wa Eagles alimfanyia madhambi dhahiri kabisa na kutoa doubt kwa chumba cha VAR.
Mwamuzi yeye kaenda kutimiliza tu majukumu yake mengine.
mpira una ukatili mno mpaka filimbi ya mwsho ilie ndio unakuwa salama na ushindi.Mpr kmk mchezo katili sana
Nigeria hapa yy kdg tu atolewe kwny 90 izi.
Japo imezaa bao la kwanzaSub ya iwobi imeikosti sana Nigeria
Yule Mwamba anajua kukaba tu hajui kufunga Wala kishambuliaKuna jamaa kipara yule kawakosesha ushindi yule😁😁😂
Hakika mkuu.mpira una ukatili mno mpaka filimbi ya mwsho ilie ndio unakuwa salama na ushindi.
JikazeYaniii kusimuliwa nakosa uhondo
Kuna dogo naangalia anasinzia hapa,, mbungi kama hii anasinzia,, bora huyo anataka kusimuliwaAnataka za kwetu ndo nzuri tumsimulie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mechi kama futuhi bwana
Kabisa yule ni mwamba sanaMudau... Jamaa sema me namkubali anapiga san kazi kanishikia Lookman
Muda 🐇Kuna jamaa kipara yule kawakosesha ushindi yule😁😁😂
Jamaaa 🤣Tv3 wapo nyuma sana, eti sa hivi sauzi ndo wanapiga ile penati
awo awapo live na kama unalipa kifurushi washitaki maana ni wizi wa wazi waziTv3 wapo nyuma sana, eti sa hivi sauzi ndo wanapiga ile penati
Ingekuwa imeisha tayari. Haya matokeo ya hivi yapo sana kwenye mpiraHakika mkuu.
Isinge kua ufala wa mdau Nigeria angelia kilio kibaya Sana.
Na wale pisi kali waoTulikoswa sana na Cape Verde ila tupo hapa leo cape verde yupo kwao na mali zao