Shukrani sana mkuu kifurushi ninacho data pia zipo ila kustream DSTV Leo kila ikifikia pale pa:Lete namba nikuwezeshe bando.
Iwe ya Voda lakini
Hivi nyie mko nchi gani umeme kila siku mnakatiwa??
Which country is that?
Bando halitoshi lete #.Shukrani sana mkuu kifurushi ninacho data pia zipo ila kustream DSTV Leo kila ikifikia pale pa:
You are about to stream video using mobile data
Continue Cancel
Nikicontinue inagoma inasema Something went wrong ERROR 002 !
Umeomba ruhusa ya kutuma vocha kwa Smart?Bando halitoshi lete #.
utanishukuru baadae
hana shida mdogo wangu yule.Umeomba ruhusa ya kutuma vocha kwa Smart?
Habaki pia msimu ujaoKuna mwamba anaitwa Teboho Makoena asee anacheza soka la viwango vya juu sana.
ππππ Hama uko wewe nenda hata tbcTv3 wapo nyuma sana, eti sa hivi sauzi ndo wanapiga ile penati
Huku mpira umeisha mkuuπ€£π€£Tv3 wapo nyuma sana, eti sa hivi sauzi ndo wanapiga ile penati
Itakuwa ngumu sana, Mamelodi kubaki na huyu Kipa
Yuko vizuriAlivyochomoa lile shuti sio poa