Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Kemea pepo.Kuna sauti ya upole inaninong'oneza Nigeria wanaingia fainali
Ulaya wakiamua lao hawashindwi, Orlando wajiandae kisaikolijia wale jamaa soka ni bashara kubwa wanatoa hela hakuna mtu anagoma asee.Lkn hela wanayo maana team ya billionaire.
Lbd itokee ofa ya nje ya Africa.
Halafu pia miaka 32 ndio uanze kutoka Africa kwenda ulaya sio rahisi hata kama ni golikipaSema kwa ulaya kwa kimo kile Ni ngumu kucheza big team wazee Africa is not Europe ila kuna baadhi ya ligi anaweza kucheza
Anaenda EnglandMmmh sio rahis ivo.
Sema YangaVAR ikija Ligi Kuu Tanzania bara Yanga na Simba zinaweza kushika mkia.
Amekwenda nje hapaOsimhen anafunga goli la ushindi
Mamelodi sio Orlando jombaaUlaya wakiamua lao hawashindwi, Orlando wajiandae kisaikolijia wale jamaa soka ni bashara kubwa wanatoa hela hakuna mtu anagoma asee.
Ni wa Mamelodi.Ulaya wakiamua lao hawashindwi, Orlando wajiandae kisaikolijia wale jamaa soka ni bashara kubwa wanatoa hela hakuna mtu anagoma asee.
Kocha ametoa goliAmekwenda nje hapa
kimo chake kidogo huyu mzee japo ni kipa mzuri nakupa tu mfano wew muangalie Courtios alivyo mrefu vile lakini bado watu huwa wanamtesa kweli kweli kumpeleka juu Urefu kwa Goli kipa hasa kwa mpira ulaya ni muhimu sanaKwamba mshikaji ni mfupi?
Ndio sitaki! Naona itakua sababu ya tanesco mkuu make mchana nilikua naangalia vizuri tu!Heeh! ndio hutaki?
au nikuonyeshe