United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Na ndio muache kujisifu sjui ligi yetu bora propaganda nyingi ila vitendo 0Kwa hilo soka la wenzetu TANZANIA hakuna mpira aisee
Asante sana mkuu kwahii naona imekubali☝️
🤣🤣Jamaa anamshika jez kinomanoma 🤣🤣
Mongida fundii akiwepo huyu jamaa timu inatulia sana pale dimba la katiBanyamulengeView attachment 2897353
WagwanWagwan
[emoji23]Mmeona hao jamaa wawili wanaoandika andika , hao ndo ma analyst . Wanaichambua timu pinzani nje ndani
Sio huku kwetu kuna kamati ya ufundi ya uchawi
Yeah aliunawa mpira ulikuwa unaingia wavuni akaona isiwe tabu🤣🤣 nilimchukia sana jamaa ila msimu uliofuata tu akajiunga na team yangu Liverpool na akawa my favourite player.Shujaa hasa hichi kitu alifanya Suarez dhidi ya ghana 2010
Huyu mwamba anajua sana kazi aliyoifanya ni kubwa.Kuna mwamba anaitwa Teboho Makoena asee anacheza soka la viwango vya juu sana.
Aliimbiwa sana Uruguay...Yeah aliunawa mpira ulikuwa unaingia wavuni akaona isiwe tabu🤣🤣 nilimchukia sana jamaa ila msimu uliofuata tu akajiunga na team yangu Liverpool na akawa my favourite player.
wenzetu wako mbali sanaMmeona hao jamaa wawili wanaoandika andika , hao ndo ma analyst . Wanaichambua timu pinzani nje ndani
Sio huku kwetu kuna kamati ya ufundi ya uchawi
Hata Morocco na Misri ligi zao ni bora kuliko SA lakini walifika wapii?Na ndio muache kujisifu sjui ligi yetu bora propaganda nyingi ila vitendo 0
iyo Ndio point kubwaPenati hazina mwenyewe