Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Na Ndio kilichobaki ivory coast ashinde furaha ikamilikeLeo tuko sambamba. Ivory Coast watupe raha sasa.
Ntakupiga nyingi utashangaa leooivory coast leo kaamua mamaye Simon Adingra,Haller,Singo mamayee atoki mtu leooo
Walibana tu...lakin mwisho wamepanua..SA ingekua haina quality players pia, basi match Nigeria wangeimaliza dakika ya 90.
Kuna Save moja alifanya jamaa akamgonga Bega,Jamaa Leo aliumia kitambo bega,sio rahisi kufuata mipira kama siku ile
Simba vs Tabora jana VAR ingekuwapo wangetoka patupuSema Yanga
Mwenyej sitak kumsikia maana Kila nikimuombea mabaya ,Anatakiwa atoke tu
ivory coast pamoja na mapungu yao walionesha mwanzo mwa michuano lakini ni moja kati ya watu wanaocheza direct football sana kama umewatazama vizuri kwahyo kazi leo mnayo kweli kweli na huyo Sebastian Haller sjui kama mtakaba leoNtakupiga nyingi utashangaa leoo
Watachinjwa mbayaa na kina masuakuuuu mbembaaaa๐ฎ๐ชIvory Coast!
Msiniangusheee.....
Nusu ya Timu ina UparaYu
Yule fala mwenye pala ndo kazengua