United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
kwahyo Now kwenu kufika Nusu fainaili ni Bora kuliko kubeba Kombe pigaaa hayo mamutuuu gakagameeee .mabumbavuuuuuuu sanaBora sisi wewe si uliishia makundi mkarudi bongo yenu mkiwa na mateso ya kukatiwa umeme
Mnaenjoy wapi wakati umeme hamna na sukari pia imepanda bei huko kwenu 🤣😂Wew mwenyewe Maendeleo hadi mda huu unatoa machozi tu wezako tunaenyoy maisha Na Bado huko Goma tunakulinda na silaha zetu ili Ndugu zako walale usingizi mtamu
Mie nilishabeba hili wewe ndo haujawahi hata kufika robo olingi ngai mingikwahyo Now kwenu kufika Nusu fainaili ni Bora kuliko kubeba Kombe pigaaa hayo mamutuuu gakagameeee .mabumbavuuuuuuu sana
Hebu kwenda huko, kaka mzuri wangu yuko busy huo muda wa kuzurura kwenye mitandao anaupatia wapi?Kukudokezea tu, baadhi yao tumeshawasaka huko Tik Tok na IG, famchezo nini 🤣😂🤣
Na endeleni kushangaa soon tunakuja kuaza kuiba hiyo kobati yenu tuaze kutengeneza BetriMnaenjoy wapi wakati umeme hamna na sukari pia imepanda bei huko kwenu [emoji1787][emoji23]
lakini umetoka leo hamna kukata Mauno yenu ya VumbiMie nilishabeba hili wewe ndo haujawahi hata kufika robo olingi ngai mingi
Yaani kabisa yaaniMnasemajeeeeee?
Super Eagles kwenye fainali. Uonevu haulipi, tulionewa na VAR ila tumesonga.
We na kipaka chako wanchekeshaaa[emoji1787][emoji1787]kwani unakatoaga wapi?!!!View attachment 2897361
Huyu paka auliweee
Hahaaaaa daahMiivory coast inandumba hii
Ukiishabikia itashinda kweli.
Haitakuwa vise versa [emoji23]
Ngoja nione,leo Bahati itakuwa upande wangu,Congo apite
Tangu nianze kuangalia mechi,hakuna timu niliyoishabikia ikafanikiwa kushinda.
🤣😂Charles kilian kaka pole sanaa mpira ndo huu matokeo ya kikatili mno
Sema tukutane mshindi wa tatu🤣🤣🤣🥂
Hamuwezi nyinyi ni masikini tuNa endeleni kushangaa soon tunakuja kuaza kuiba hiyo kobati yenu tuaze kutengeneza Betri
Hahahahaha nipoUtaniua mbavu zangu.
Charles kilian huyo
Na ndugu yake Tresor Mandala walitamba sana asubuhi wamepotea wote.
Upo saa hizi? Rudi kulala wewe.Hahahahaha nipo