United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Bado AK 47 diakite yupo njeee leo watu lazima waliiee kilio cha mbwa kokooHaka katoto ka Simon hakaaa[emoji848][emoji848]
Yanii naona Nigeria bado hawajaseto vizuri!Victor Anatumia Nguvu Sana Kukaba Hao Mabeki.
Kuna Mechi Walitaka Kumpima Kama Anatumia Madawa Ya Kusisimua Misuli Baada Ya Kuona DK 90 Anatumia Nguvu Sana
Ilikua mechi na Cameroon Nadhani, Ilikua Wakishambuliwa Yeye ndio Kaokoa shambulizi, Ikipigwa Counter Tayari yuko golini kwa Cameroon anataka Kufunga.Victor Anatumia Nguvu Sana Kukaba Hao Mabeki.
Kuna Mechi Walitaka Kumpima Kama Anatumia Madawa Ya Kusisimua Misuli Baada Ya Kuona DK 90 Anatumia Nguvu Sana
Nigeria akijidanganya tu acheze open game atakufa vibaya sanaHawana Uwezo Mbele Ya Nigeria
Yanii dogo hatari sana huyu!Hapo kama Beki ya Nigeria ni Madingi, kazi wanayo leo
Inaweza Ikawa ndio Ntolee, Wasiseto KabisaYanii naona Nigeria bado hawajaseto vizuri!
Hatari sana
Leo cot wamejipanga
Wese la kutosha πππSeko Fofana leo ameupiga mafuta ya kutosha upara wake
Bado hawajakaa mchezoni kabisa!Inaweza Ikawa ndio Ntolee, Wasiseto Kabisa
kuna huyu jamaa kossounou anaweza akakutoa ata macho ukimpitaHawa ivory Coast watafia uwanjani..
Na hapo ametoka injury.Victor Anatumia Nguvu Sana Kukaba Hao Mabeki.
Kuna Mechi Walitaka Kumpima Kama Anatumia Madawa Ya Kusisimua Misuli Baada Ya Kuona DK 90 Anatumia Nguvu Sana