Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Yanii naona Nigeria bado hawajaseto vizuri!
Hatari sana
Ilikua mechi na Cameroon Nadhani, Ilikua Wakishambuliwa Yeye ndio Kaokoa shambulizi, Ikipigwa Counter Tayari yuko golini kwa Cameroon anataka Kufunga.
ubaya wa ivory coast washambulie unavyoweza wew ila na na wew ikifika zamu yako hawapindishi wanakuja moja kwa mojaNigeria watawapiga counterattack ohooo!
Na hapo ametoka injury.
Anatumia mafuta ya mkia wa kondoo 😜Seko Fofana leo ameupiga mafuta ya kutosha upara wake
Final mda. Mwngne una cheza kwa tahadhari.yaani Nigeria leo anashangaza sana. kama sio wao.
Mwamba Anajituma SanaNa hapo ametoka injury.
Jamaa anafny mazoez Sana ndo maana unamuona hata mwil wake unaelezea kbs.Kuna Clip niliona Mazoezi anayofanya, Unaweza Ukase Huyu ni Bondia na Si Mchezaji wa Mpira.
[emoji817][emoji817]Mwamba Anajituma Sana
Yeah Sema CIV nao 🙌Nigeria Watapiga Counter Attack Moja Victor Osimhen Anaweka Kamba.
umejieleza vizuriFinal mda. Mwngne una cheza kwa tahadhari.
Kumbuka Hawa wana morali wako kwao na uwanja wao uwashabikia wao.
Ukitaka kujifanya na ww una presha ukapishana nao ukala chuma cha mapema utaharibu game plan.
Unawasoma unawaacha presha ipoe mkiwa mko suluhu mnavizia.
Basi ni Cote D'IvoireBingwa ni Nigeria
Yaani Najaribu Kuvuta Picha Dickson Job au Zimbwe ndio anakabidhiwa Chuma hicho, Anaambiwa hakikisha Hatembei.Jamaa anafny mazoez Sana ndo maana unamuona hata mwil wake unaelezea kbs.
Huna chako leoNigeria