Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
H
Ujuaji mwingi uondoa maarifa hawezi kuona joto lilivyo juu kupita kiasi na watu wanakimbia
Huyu Mzee ana midadi hadi siyo poa[emoji28]
HII NDOO KILA BAADA YA MIAKA MINGAPI2027 hiyo itakuwa..
2025 inachezwa Morocco..
Nayule dogo alietukosakosa dakika za Mwanzo 🙌🙌!kaaaa kwa kutulia Sebastian Haller bado yupo Ndani
miwiliHII NDOO KILA BAADA YA MIAKA MINGAPI
Energy ya huyu mtu ni Unmatched.Osimhen 2017 akiwa katika michuano ya Kombe la Dunia la Vijana chini ya miaka 17View attachment 2901282
[emoji28][emoji28][emoji28]Miwili.HII NDOO KILA BAADA YA MIAKA MINGAPI
Mke,amekuwa naye mechi zoteIvi yule pembeni ni Mkewe? Au Shabiki tuu
NakaziaEnergy ya huyu mtu ni Unmatched.
wasiletee mambo ya Bayern munich 2012Kufungwa fainal nyumbani kunauma sana
Mwakani tusishiriki.[emoji28][emoji28][emoji28]Miwili.
Kwanini sasa?Mwakani tusishiriki.
Bayern walilia sanawasiletee mambo ya Bayern munich 2012