Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Tau kuna muda anashangaza sana.Tau amekuwa mchoyo tena
Tau tau,Anamapepe sana anakimbia kimbia kama mwehu tu mda mwngne.
Anaweza tu fanya dribbling vzr lkn utulivu golin mda mwngne anaukosa kbs.
Kaenda kupiga penalty kachagua very difficult skill ya kutaka kupeleka mpr akafungie juu anapotagia ndege.. Baada afanye maamuz simple tu.. Mwshoe mpr ukapaa wote.
[emoji23][emoji1430]Tau tau,
UTopolo wamempa kipa wao hirizi[emoji1787]
ATulize akili huyu
Diarra safari ya ulaya imeivia pesa hiyo akidaka vizuri hii michuano next season hatupo. naye tubaki la shati manulaDiarra leo anamuwangia Percy Tau
Azam ndo analeta ujinga tuchampions leauge pia kwon tuna timu mbili kwenye group stage last season tulitoa mwanafainali wa kombe la shirikisho
Ila hii ya pili hawezi kulaumiwaTau bwana[emoji23]
Nchi zinapambana huko huyu, sjui anasema vitu gani hapa
KabisaWimbo wa taifa wa south Africa unafanana Sana na wa kwetu