Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
Wanaweza kusawazisha.
Ufala wao umewafikisha hapo ngj walambwe wao.mtu kakaa anawasifia hoo wote wanacheza ligi ya South mara sjui vipaji wakati jamaa wanaruka ruka tu
Ngoja wapigwe la Tatu washike AdabuNgoma ishalala hii
In football kila jambo linawezekanaJamani Tanzania tunacheza leo siku imeshapinduka.
Naona Morocco wakipasha misuli kwa ajili ya kuleta maafa katika nchi ya kusadikika.
Muhimu kukumbushana
Sio rahisi tangu waingia kipindi cha pili SA hawana shots on target ata 1 dakik ya 75 iyoWanaweza kusawazisha.
Kwamba wa Morocco tuna wamudu ?In football kila jambo linawezekana
Kesho tutasema yotewenzetu wanapiga boli wala hakuna kelele za machawa
Mozambique alimmudu Egypt vizuri tuKwamba wa Morocco tuna wamudu ?
Usiku wa deni haukawii kukuchaJamani Tanzania tunacheza leo siku imeshapinduka.
Naona Morocco wakipasha misuli kwa ajili ya kuleta maafa katika nchi ya kusadikika.
Muhimu kukumbushana
Ya kwanzaHiyo yellow sio ya pili?
Harakati za Simba na Yanga zinaendelea mpaka AfconYanga wataosha sana aisee.
Aziz amecheza almost dakika 85'.
Hapa Diarra anakaribia kupata clean sheet