2024 uwe mwaka wa Mbowe kuona aibu na kug'atuka. CHADEMA irudi kwa wazalendo kiuhalisia

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi.

Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli.

Chama kinatakiwa kije kukamata dola.

Siasa siasa za kibiashara tu.
 
Huo mdomo unaompigie kelele Mbowe kila siku huumii au unapoenda kulala unauchua kwanza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi.

Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli.

Chama kinatakiwa kije kukamata dola.

Siasa siasa za kibiashara tu.
Umemuona mboye tuu sio,CHADEMA tuu ndio chama cha upinzani chenye mwenyekiti aliyekaa mda sio,WANACHADEMA hawajasema aondokeee ,inakuuma nini
 
Ila ukweli usemwe.... Mimi ni chadema wakufia... Kwa hili naunga mkono hoja! Hatuwezi kupigana na CCM kuindoa madarakani zaidi ya miaka 60 wakati huo sisi mwenyekiti yupo zaidi ya miaka 30?. Kwamba chadema tumekosa watu mbadala?, It's time Mh Mbowe aachie kiti waongoze wengine... Uongozi ni kuachiana sio Mali ya familia.

MBOWE tunakuheshimu Ila Sasa basi achia ngazi watu wengine waongoze .... Kama chama kitapptelea kwao Wewe umefanya kwa nafasi yako. Acha umgabe asee😒
 
Umewahi kwenda Kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa ukanyimwa kura?
 
Back
Top Bottom