2024 uwe mwaka wa Mbowe kuona aibu na kug'atuka. CHADEMA irudi kwa wazalendo kiuhalisia

2024 uwe mwaka wa Mbowe kuona aibu na kug'atuka. CHADEMA irudi kwa wazalendo kiuhalisia

1000006218.jpg
Unazuga tu hapa Jf ikifika Usiku unamtafuta Mtu Huru umchanulie 😂😂🐼
 
Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi.

Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli.

Chama kinatakiwa kije kukamata dola.

Siasa siasa za kibiashara tu.

Katika hao wazalendo unaofikiri wachukue uenyekiti kutoka kwa mbowe wanaweza kuwa wagumu kama Mbowe hata akibambikizwa kesi na kuishi magereza yuko tuu imara wala hayumbi au unataka kuwapa uenyekiti wale jamaa ambao wakitishiwa kidogo tuu kesho unasikia wanaunga mkono juhudi HONGERA SANA MBOWE MIMI BINAFSI NAKUKUBALI HATA UKIONGOZA MAISHA UPINZANI BADO UKO UTAKUWA IMARA TANZANI CONGRATULATIONS CHAIRMAN MBOWE
 
Pandikizi la sisiem likingatuka ni majonzi kwa SISIEM A na Sisiem B(chadema)

Lakin atoke aende wap wakat chama ni mali ya baba mzaa chema
 
Ila ukweli usemwe.... Mimi ni chadema wakufia... Kwa hili naunga mkono hoja! Hatuwezi kupigana na CCM kuindoa madarakani zaidi ya miaka 60 wakati huo sisi mwenyekiti yupo zaidi ya miaka 30?. Kwamba chadema tumekosa watu mbadala?, It's time Mh Mbowe aachie kiti waongoze wengine... Uongozi ni kuachiana sio Mali ya familia.

MBOWE tunakuheshimu Ila Sasa basi achia ngazi watu wengine waongoze .... Kama chama kitapptelea kwao Wewe umefanya kwa nafasi yako. Acha umgabe asee😒
FAM anakaribia umri wa mfalme Daudi aliomiliki na kutawala Israeli Kwa miaka 40!
 
Back
Top Bottom