2024 uwe mwaka wa Mbowe kuona aibu na kug'atuka. CHADEMA irudi kwa wazalendo kiuhalisia

2024 uwe mwaka wa Mbowe kuona aibu na kug'atuka. CHADEMA irudi kwa wazalendo kiuhalisia

Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi.

Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli.

Chama kinatakiwa kije kukamata dola.

Siasa siasa za kibiashara tu.
Baada ya kukufukuza kutoka cdm kwa udokozi wako unamuona mh Mbowe ni adui yako?

Wewe ni kibaka na daima utaishi kwa chuki tu dhidi ya wanao kuhukumu kwa wizi wako.
 
Mkuu usipate shida, kuna ndogo ndogo huku kitaa kuwa kamanda msaliti anafanya mipango ya kumpindua.
 
Back
Top Bottom