2024 uwe mwaka wa Mbowe kuona aibu na kug'atuka. CHADEMA irudi kwa wazalendo kiuhalisia

Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi.

Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli.

Chama kinatakiwa kije kukamata dola.

Siasa siasa za kibiashara tu.

MASWALI

1.Uenyekiti wa Mbowe pale Chadema kuna sababisha hasara zipi kwenye Taifa letu?

2.Je,Umewahi kuomba Kugombea Uenyekiti na Mbowe ukaibiwa kura?

3.Je,Unataka nani agombe uenyekiti pale Chadema tofauti na mbowe?

4.Je,Katiba ya Chadema inasemaje kuhusu Ukomo wa Mwenyekiti?
 
Mbowe kuwa kiongozi wa CHADEMA kwa Miaka kibao,kuna liletea hasara zipi Taifa?
Komenti za kipumbavu hizi, kwahiyo chadema hakuna watu wengine zaidi yake?. Baada ya yeye kukaa chadema kwa 30 ameleta kipya kipi?
 
Mbona unatukana tu na hujibu Hoja?

Nimekuuliza swali,inapaswa utoe majibu!

SWALI

Mbowe Kuiongoza Chadema kwa miaka 30,Kama Taifa tumepata hasara gani?
 
Naomba unitajie kifungu kutoka katika katiba ya Chadema kinachomzuia yeye kutokugombea zaidi ya miaka 30!
Hiyo katiba amerekebisha yeye, mwanzo kulikuwq na kupishana katika kiti... Punguza upuuz akili za kijinga, hakuna binadam mwenye akili timam Dunia hii anapenda kuongoza na fikra zilezile nyakati zote. MBOWE ana 60+ Sasa hana jipya mwenye siasa za ushindani, tunahitaji vijana na wapo kibao. Afu unaleta habari eti nani agombe? Bata Waheed kabisa.
 
Mbona unatukana tu na hujibu Hoja?

Nimekuuliza swali,inapaswa utoe majibu!

SWALI

Mbowe Kuiongoza Chadema kwa miaka 30,Kama Taifa tumepata hasara gani?
Kama hata hujui kutokuwa na demokrasia ndani ya chama ni hasara kwa Taifa? Unawezaje kujua hasara za mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti?.
 
Hiyo katiba amerekebisha yeye, mwanzo kulikuwq na kupishana katika kiti... Punguza upuuz akili za kijinga, hakuna binadam mwenye akili timam Dunia hii anapenda kuongoza na fikra zilezile nyakati zote. MBOWE ana 60+ Sasa hana jipya mwenye siasa za ushindani, tunahitaji vijana na wapo kibao. Afu unaleta habari eti nani agombe? Bata Waheed kabisa.

Mimi na wewe nani anaonekana Mpumbavu?,Kwanini ili kumuondoa Mbowe usiende wewe Kugombea?,Unataka nani akagombee wewe ukiwa umekalisha li "Camel Toe" lako kwenu?
 
Kama hata hujui kutokuwa na demokrasia ndani ya chama ni hasara kwa Taifa? Unawezaje kujua hasara za mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti?.

Wewe ni Punguani kweli kweli!

Hiyo demokrasia ambayo wanayo ccm ndani ya chama Chao imelisaidia nini Taifa zaidi ya WIZI,UFISADI na UJAMBAZI WA MALI ZA UMMA?
 
Chadema ina wanachama zaidi ya 5M+wafuasi kibao!. Kuendelea kuongozwa na mtu mmoja ndani ya miaka 30+ ni ujuha na utahira wa wanachama.
MBOWE LAZIMA 2024 UACHIE NGAZI.. WAPE WENGINE NAFASI UMETOSHA.
 
MASWALI

1.Uenyekiti wa Mbowe pale Chadema kuna sababisha hasara zipi kwenye Taifa letu?

2.Je,Umewahi kuomba Kugombea Uenyekiti na Mbowe ukaibiwa kura?

3.Je,Unataka nani agombe uenyekiti pale Chadema tofauti na mbowe?

4.Je,Katiba ya Chadema inasemaje kuhusu Ukomo wa Mwenyekiti?
Nonsensical
 
Mimi na wewe nani anaonekana Mpumbavu?,Kwanini ili kumuondoa Mbowe usiende wewe Kugombea?,Unataka nani akagombee wewe ukiwa umekalisha li "Camel Toe" lako kwenu?
Akili za kiahoga.... Au nyie ndio mnaotumika na Mbowe kuwaua wanaoutaka uenyekiti?. Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuew mpuuzi.... Unamshabikia mwanaume mwenzako Kama anakuzambaza hilo qundu...?
 
Kawaida ya Vilaza huwa mnaishia kutukana badala ujibu hoja ya msingi,sasa unasemaje unahitaji Chadema iwe na Demokrasia wakati wewe mwenyewe unaishia kunitukana unashindwa kujibu hoja kisomi!?
 
Back
Top Bottom