Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Acha ushwainiNa wewe n'atuka kuandika taarifa zako humu
Mimi wa kwanzaHao wazalendo kiuhalisia ni akina nani?
Huo mdomo unaompigie kelele Mbowe kila siku huumii au unapoenda kulala unauchua kwanza!Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi.
Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli.
Chama kinatakiwa kije kukamata dola.
Siasa siasa za kibiashara tu.
Huna hoja wewe mlumumba.Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi.
Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli.
Chama kinatakiwa kije kukamata dola.
Siasa siasa za kibiashara tu.
Acha ushwainiChawa wa Samia huna lolote.
PuuzwaHuna hoja wewe mlumumba.
Sina muda na kenge asiye na akiliHuo mdomo unaompigie kelele Mbowe kila siku huumii au unapoenda kulala unauchua kwanza!
Sent using Jamii Forums mobile app
Irudi kwa familia yako.Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi.
Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli.
Chama kinatakiwa kije kukamata dola.
Siasa siasa za kibiashara tu.
Atakula wapiSio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi.
Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli.
Chama kinatakiwa kije kukamata dola.
Siasa siasa za kibiashara tu.
Umemuona mboye tuu sio,CHADEMA tuu ndio chama cha upinzani chenye mwenyekiti aliyekaa mda sio,WANACHADEMA hawajasema aondokeee ,inakuuma niniSio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi.
Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli.
Chama kinatakiwa kije kukamata dola.
Siasa siasa za kibiashara tu.
Kenge weweIrudi kwa familia yako.
Ila ukweli usemwe.... Mimi ni chadema wakufia... Kwa hili naunga mkono hoja! Hatuwezi kupigana na CCM kuindoa madarakani zaidi ya miaka 60 wakati huo sisi mwenyekiti yupo zaidi ya miaka 30?. Kwamba chadema tumekosa watu mbadala?, It's time Mh Mbowe aachie kiti waongoze wengine... Uongozi ni kuachiana sio Mali ya familia.
MBOWE tunakuheshimu Ila Sasa basi achia ngazi watu wengine waongoze .... Kama chama kitapptelea kwao Wewe umefanya kwa nafasi yako. Acha umgabe asee😒