Dawa ya Uvccm
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 2,223
- 4,717
Mbowe hatatoka kwa matakwa ya mashoga ya makonda na dpworld, bali matakwa ya wanachama.Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi.
Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli.
Chama kinatakiwa kije kukamata dola.
Siasa siasa za kibiashara tu.
Ila ukweli usemwe.... Mimi ni chadema wakufia... Kwa hili naunga mkono hoja! Hatuwezi kupigana na CCM kuindoa madarakani zaidi ya miaka 60 wakati huo sisi mwenyekiti yupo zaidi ya miaka 30?. Kwamba chadema tumekosa watu mbadala?, It's time Mh Mbowe aachie kiti waongoze wengine... Uongozi ni kuachiana sio Mali ya familia.
MBOWE tunakuheshimu Ila Sasa basi achia ngazi watu wengine waongoze .... Kama chama kitapptelea kwao Wewe umefanya kwa nafasi yako. Acha umgabe asee😒
Punguza ujinga.....!! Kama sijagombea ndio iwe mwanya wa yeye kuongoza chama zaidi ya miaka 30?. Hivi Wtz tuna akili timamu kweli?.
Komenti za kipumbavu hizi, kwahiyo chadema hakuna watu wengine zaidi yake?. Baada ya yeye kukaa chadema kwa 30 ameleta kipya kipi?
Hiyo katiba amerekebisha yeye, mwanzo kulikuwq na kupishana katika kiti... Punguza upuuz akili za kijinga, hakuna binadam mwenye akili timam Dunia hii anapenda kuongoza na fikra zilezile nyakati zote. MBOWE ana 60+ Sasa hana jipya mwenye siasa za ushindani, tunahitaji vijana na wapo kibao. Afu unaleta habari eti nani agombe? Bata Waheed kabisa.
Kamanda Mchovu umetumwa wapi na nani na kwa maslahi yapi,tuachie chama letu bora,ambalo fisadi,chawa,mkwapuaji,legelege,vivu's,chukua chako mapema,Tumbo souce a.k.awala kwa urefu wa kamba zao hawana nafasi.Nafasi katafute kwa wana chukua chako mapema 😅Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi.
Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli.
Chama kinatakiwa kije kukamata dola.
Siasa siasa za kibiashara tu.
Chadema ina wanachama zaidi ya 5M+wafuasi kibao!. Kuendelea kuongozwa na mtu mmoja ndani ya miaka 30+ ni ujuha na utahira wa wanachama.
MBOWE LAZIMA 2024 UACHIE NGAZI.. WAPE WENGINE NAFASI UMETOSHA.
Duuu Yani unamshauri mleta mada aonje sumu kwa kuilambaMASWALI
1.Uenyekiti wa Mbowe pale Chadema kuna sababisha hasara zipi kwenye Taifa letu?
2.Je,Umewahi kuomba Kugombea Uenyekiti na Mbowe ukaibiwa kura?
3.Je,Unataka nani agombe uenyekiti pale Chadema tofauti na mbowe?
4.Je,Katiba ya Chadema inasemaje kuhusu Ukomo wa Mwenyekiti?
FAM anakaribia umri wa mfalme Daudi aliomiliki na kutawala Israeli Kwa miaka 40!
Ni hivi. Ukisikia CCM wanataka kiongozi fulani aondoke basi ujue huyo kiongozi ni mzuri na ana maono. Endeleeni naye. Ukisikia wanamsifu na kusema aendelee kuongoza basi mtoeni haraka sana.Umemuona mboye tuu sio,CHADEMA tuu ndio chama cha upinzani chenye mwenyekiti aliyekaa mda sio,WANACHADEMA hawajasema aondokeee ,inakuuma nini
Hebu unayejua tuambie... Kwahiyo bado unataka aendelee kukuchagua viti maalum umpe tobo?Wewe ndio tahira. Hata hujui Mbowe kachaguliwa lini kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Umebaki kuropoka eti miaka zaidi ya 30. Shida mnadakia mambo hamjui yalipoanzia.
wewe??!!!🐒🐒Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi.
Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli.
Chama kinatakiwa kije kukamata dola.
Siasa siasa za kibiashara tu.
Vipi kuhusu Lipumba na Cheyo?Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi.
Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli.
Chama kinatakiwa kije kukamata dola.
Siasa siasa za kibiashara tu.
Shughulikeni na ccm yenu. Chadema haiwahusu. Au undhani Mbowe ndio kikwazo cha kupatikana umeme wa uhakika?Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi.
Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli.
Chama kinatakiwa kije kukamata dola.
Siasa siasa za kibiashara tu.