2025 atatoboa kweli!?

Paraghraph zako 2 za kwanza zilinifanya nifikiri ni chawa kazini ila mpaka mwisho wa comment yako nimekuelewa mno.

Tutaendelea 'kumpenda' akiwa mstaafu ila kwa sasa kama raisi inatosha kwa kweli. Samia akapumzike tu.
 
Ni vile tu hatuambukizani Akili,lakini ilikua wakati sahihi 25 kutoka stagini as a good dancer ila kwa tamaa atakazaa,Amepwaya sanaaa! PM nchii inamwihitajii aisogezee.
 
Mungu amekupa akili uzitumoe.Acheni kumsingizia Mungu kwa kila kitu.Mungu asingekata utumie akili angekuumba msukule.Nyie ndo nata kiongozi akifanya ujinga mnakubali....
 
amejaribu kupunguza upinzani kwa kuwaleta akina Lukuvi...... nawaza hivyo
 
Awal kulli ,

Nasema hivi...

Mbona mh.Rais SSH hana kazi ngumu hiyo 2025 in shaa Allah....

Katoka pagumu mno....mnoo...

Kuna ugumu kama "regime change" baada ya "sitting president" kutawafu ?!!!

Kwa nguvu za Mwenyezi Mungu na mizimu ya mababu wa taifa takatifu la Tanzania ,mh.Rais Samia alivivuka viunzi na leo ni raia nambari 1 wa JMT....

Lipi gumu tena ?!!

Lipi ?!!

2025?!! [emoji44][emoji44][emoji1787]

Geeez

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Uchaguzi ukiwa wa HURU na wa HAKI kati ya Samia na Lissu 2025, ni Tundu Lissu ndie ataibuka mshindi na kuwa Raisi wa kwanza kutoka opposition kama ilivyokuwa kwa Chiluba wa Zambia.

Lakini Samia akisimama na mwingine yeyote Samia anashinda asubuhi tu.
 
Atatobolewa yeye
 
Atoboe siri labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…