2025 CCM out, mpende msipende. Vijana wamekata tamaa

2025 CCM out, mpende msipende. Vijana wamekata tamaa

Ccm msijipe matumaini ya kisinda 2025 hakuna kijana tena msomi anawezq kiwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua ngivu ya vijana. Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
Naichukiaa jamani
 
Pole mkuu ;

Naona kunyimwa kufanya interview kumekufanya uichukie serikali.

With time hasira itapoa.

Maisha yataendelea ; sio lazima uajiriwe serikalini; kama huko sio bahati yako wekeza nguvu kwenye mambo mengine
 
CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anawezq kiwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana. Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
Kwa siasa za Wasira zilizopitwa na wakati anazidi kumwaga petroli kwenye Moto?
 
Back
Top Bottom