Pre GE2025 2025 watanzania watakuwa na kazi ya kulinda hadhi ya "mama", katika kila hotuba zake, Lissu amekuwa akiongea kwa dhihaka kubwa kuwahusu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Katika historia ya nchi hii, sijawahi kuona mtu anayekebehi, kudharau, na kutoheshimu hadhi ya mama kama Tundu Antipas Mughwai Lissu.

Ukimdharau mama mmoja, umedharau mama wote nchini na duniani. Shime, uchaguzi wa 2025 uwe wa kuwaheshimiaha mama zetu dhidi ya ubaradhuli huo
 
Makonda amemaliza yote kuwa mama amerogwa.
 
Katika historia ya nchi hii, sijawahi kuona mtu anayekebehi, kudharau, na kutoheshimu hadhi ya mama kama Tundu Antipas Mughwai Lissu.

Ukimdharau mama mmoja, umedharau mama wote nchini na duniani. Shime, uchaguzi wa 2025 uwe wa kuwaheshimiaha mama zetu dhidi ya ubaradhuli huo
Ungeeleza jinsi alivyokebehi;dharau na hayo mengine tuone changamoto ipo upande upi kati yako na Lissu.
 
Husikiagi anavyoongea kwa dharau kuwahusu wa mama?
Kumsikia mtu anaongea kuhusu jambo lolote inahitaji aina ya usikilizaji.Mmoja anaweza kujiandaa kusikiliza huku amenuna na kujiandaa kuchambua asichokitaka kwa muongeaji/negativities tu.Na mwingine akawa yupo tayari kuusikia ujumbe na kuufanyia kazi.Hata hivyo,ni lini ulimpenda Lissu?
 
Mbowe alishatangaza hadharani sumu haionjwi na Lisu aneshaonja tayari.

Ila hatutakubali yamtokee ya Chacha Wangu, safari hii tutamnyoosha gaidi
 
Anae mzungumzia Lisu ni yule "mama" yenu wa hovyo kutoka chambawima huyo ndie hasa anaepigwa mabango
 
Tusiingize umama na ubaba katika uongozi wa nchi iliyo Jamuhuri.
 
sijawahi kuona mtu anayekebehi, kudharau, na kutoheshimu hadhi ya mama kama Tundu Antipas Mughwai Lissu.
Kama anavunja sheria utaratibu wa kumshughulikia si upo wazi. Kwani Lissu ana kinga ya kutoshtakiwa?
 
Back
Top Bottom