Makonda amemaliza yote kuwa mama amerogwa.Katika historia ya nchi hii, sijawahi kuona mtu anayekebehi, kudharau, na kutoheshimu hadhi ya mama kama Tundu Antipas Mughwai Lissu.
Ukimdharau mama mmoja, umedharau mama wote nchini na duniani. Shime, uchaguzi wa 2025 uwe wa kuwaheshimiaha mama zetu dhidi ya ubaradhuli huo
Ungeeleza jinsi alivyokebehi;dharau na hayo mengine tuone changamoto ipo upande upi kati yako na Lissu.Katika historia ya nchi hii, sijawahi kuona mtu anayekebehi, kudharau, na kutoheshimu hadhi ya mama kama Tundu Antipas Mughwai Lissu.
Ukimdharau mama mmoja, umedharau mama wote nchini na duniani. Shime, uchaguzi wa 2025 uwe wa kuwaheshimiaha mama zetu dhidi ya ubaradhuli huo
Makonda amesema Mama karogwa kuliko mtu yoyote hapa Tanzania, sasa huyo atakuwa mzima tena , mwakani lazima form zaidi ya moja mambo yameshaharibika sana, mtu karogwa.Uchawi hauvuki bahari
Tuwekee hapa hayo maneno aliyosema ili twende sawa vinginevyo wewe umemnukuu vibaya halafu unataka utushirikishe mtazamo wako wewe.Husikiagi anavyoongea kwa dharau kuwahusu wa mama?
Kumsikia mtu anaongea kuhusu jambo lolote inahitaji aina ya usikilizaji.Mmoja anaweza kujiandaa kusikiliza huku amenuna na kujiandaa kuchambua asichokitaka kwa muongeaji/negativities tu.Na mwingine akawa yupo tayari kuusikia ujumbe na kuufanyia kazi.Hata hivyo,ni lini ulimpenda Lissu?Husikiagi anavyoongea kwa dharau kuwahusu wa mama?
Alafu usiwaingize wa mama wetu kwenye huo ugomvi wa lissu na mama yenu 😎Husikiagi anavyoongea kwa dharau kuwahusu wa mama?
Kama anavunja sheria utaratibu wa kumshughulikia si upo wazi. Kwani Lissu ana kinga ya kutoshtakiwa?sijawahi kuona mtu anayekebehi, kudharau, na kutoheshimu hadhi ya mama kama Tundu Antipas Mughwai Lissu.
Wewe ndio haujamuelewa na inaonekana wazi kabisa una matatizo kwenye uelewaAnazungumzia wote, hujamuelewa