Patriot missile
JF-Expert Member
- Jun 16, 2024
- 280
- 423
Bashungwa anatuhuma pia za Uraia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mimi nitakuwepo. Mbona we unajidharau hivyo kijana. Au una ukimwiHuo mwaka 20230 si kafulila,BASHUNGWA Wala sisi tunaotype hapa tutakuwepo duniani.
🤣🤣🤣Mbona mimi nitakuwepo. Mbona we unajidharau hivyo kijana. Au una ukimwi
Jenga hoja acha kutuhumu watu,Hizi propaganda sijui jamaa anawalipa sh ngapi. Mmepanga kabisa kutoka kwenye ma group yenu huko kwamba mmoja aanzishe uzi alaf wengine waje chap ku comment. Nitashangaa sana kama state haijagundua mchezo anaoufanya Kafulila ili apate uteuzi
Saiz si mmeanza kumuweka na Bashungwa baada ya kuona mkiweka Kafulila peke yake hamna engagement. Nguvu mnayotumia kum promote Kafulila wala ahihitaji Degree kujua kwamba kuna ka kikundi kanalipwa humu Jf ili kamsifie Kafulila apate uteuzi.Jenga hoja acha kutuhumu watu,
Kwanini unamtaja Kafulila wakati mada imemtaja pia Bashungwa?
Duuh kwahiyo na Mimi nimeingia kwenye rekodi?Saiz si mmeanza kumuweka na Bashungwa baada ya kuona mkiweka Kafulila peke yake hamna engagement. Nguvu mnayotumia kum promote Kafulila wala ahihitaji Degree kujua kwamba kuna ka kikundi kanalipwa humu Jf ili kamsifie Kafulila apate uteuzi.
Mbinu za kizamani sana. Badala dogo akomae na PPP ili mama amuone eti anatuma chawa
Huo uwaziri unatosha……ni mtanzania ndio lakini immediate grand father wake ni Mnyarwanda …Nikikumbuka zama za kina nchimbi walipokuwa na makundi ya uraisi walichofanyiwa na mzee wa msoga sitosahau. na nukuu "Mimi nilikuwa mpole Sana sasa nawaletea mkali".
Mama Samia kwa jinsi navyomuona 2030 huenda akafanya kama ya jk 2015 maana namuona siyo muongeaji anawaangalia vijana wake utendaji wao wanayoyafanya na kujikalia kimya 2030 siyo mbali wale tunaowaona wanapambana kuwa maraisi huenda wakaja kuambulia patupu! Ccm NI dude kubwa na mwenyekiti wa chama ana manguvu sana.
Nawatakia mapumziko mema
Aisee kuna watu wasiojua kinachoendelea duniani mzee kam Huna chakupost siutulie boss au unatutega tulopoke ututekeYote heri, kwangu January Makamba ndie mwanadiplomasia anaefaa kuuvaa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taifa linahitaji mabadiliko ya kimkakati, hasa ule wa ushirikiano wenye tija baina ya mataifa sambamba na uwekezaji makini kutoka nje.
Ni kweli sahihiBashungwa bado kidogo agombee 2040 apate ujasiri kwani hana
Sasa Mbona kaliwa kichwa sasaAisee kuna watu wasiojua kinachoendelea duniani mzee kam Huna chakupost siutulie boss au unatutega tulopoke ututeke
Utakuwa ndo TUMBILI mwenyewe upo kazini kwa Id mojawapoNawewe siufanye hizo bandia
Huwa nawachukia sana watu wanaofuatilia ID badala ya hoja wakati jukwaa linataka ID fakeUtakuwa ndo TUMBILI mwenyewe upo kazini kwa Id mojawapo